SAMATTA AAHIDI KUWAUMIZA LIVERPOOL LEO

Klabu ya Liverpool leo 05/11/2019 itaikaribisha KR Genk klabu anayochezea Mtanzania Mbwana Samata kwenye mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Ulaya 




Mchezo wa kwanza uliomalizika kwa Liverpool kushinda mabao 4-1 wakiwa ugenini ulizua gumzo kwa mbwana Samatta kuonyesha uwezo wa hali ya juu baada ya kufunga bao la kichwa na bao hilo kukataliwa.

Leo jioni saa 5:00 usiku Genk watakaribishwa Anfield na majogoo hao wa jiji na Samata ataendelea kuwa kapteni wa Genk huku akipanga kuwafunga Liverpool.

Mechi kali zaidi;

Kundi F: Barcelona itaikaribisha Slavia Praha kwenye dimba lake la Nou Camp. Mchezo wa kwanza ulimalizika kwa Barcelona kushinda mabao 2-1 . Mchezo mwingine wa kundi hilo ni Dortmundi ikiikaribisha Inter Milan ,mchezo wa kwanza ulimalizika kwa inter milan kushinda mabao 2-0.



Michezo mingine ni;

 Napoli Vs Salsburg,Lyon na Benfica,Valencia vs LOSC ,Zenit vs Leipzg na Chelsea vs Ajax

Post a Comment

1 Comments

  1. Leo jioni saa 5:00 usiku😂😂😂😂

    ReplyDelete