advertise with us

ADVERTISE HERE

YANGA YAPIGWA NA TIMU YA SOKONI MTWARA

Klabu ya Yanga imepoteza michezo wake wa Kwanza tangu ilipomkabidhi kocha wa muda Boniface mkwasa. Mchezo huo wa kirafiki umechezwa Leo wilayani Masasi mkoani mtwara 


Yanga imefungwa bao 1-0 na Mkuti Marketing timu inayomilikiwa na soko mjini hapo. 
Mchezo huo ulikuwa na hamasa kubwa kwani mashabiki waliujaza uwanja na wengine wakizuiwa kuingia uwanjani hapo kutokana na kukosekana kwa nafasi.


Bao pekee kwenye mchezo huo lilifungwa na Hassan Mtepeto.

Mbali na mechi hiyo Klabu hiyo imefungua matawi kadhaa  mkoani mtwara na zoezi Hilo liliendeshwa na meneja wa muda Dismas ten.

Post a Comment

0 Comments