BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA HAWANA MUDA WAKUPOTEZA WAINGIA ARUSHA KIMAFIA

Kikosi cha Yanga kipo mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi, Disemba 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Yanga wamewasili mkoani humo wakitokea Singida kwenye mchezo wa kirafiki dhid ya Singida United

Mashabiki mbalimbali walijitokeza kuipokea timu hiyo inayoongoza kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza michezo 14 na kutopoteza hata mmoja huku ikijikusanyia pointi 37. Yanga watakuwa na kibarua kizito mbele ya Dodoma United.

Post a Comment

0 Comments