advertise with us

ADVERTISE HERE

PICHA: DKT.MSOLLA MSHINDO AONYESHA FURAHA BAADA YA KUMNASA SENZO


Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Dkt.Mshindo Msolla ameonekana akiuchezea mpira kwa staili mbalimbali kama ishara ya furaha. Msolla ameonekana kutokuwa na wasiwasi licha ya mchezaji wao Benard Morrison kuondoka klabuni hapo na kutua kwa watani zao wa jadi Simba.

Msolla ameonekana kuwa na furaha zaidi baada ya kumnasa aliyekuwa  mkurugenzi mtendaji wa Simba Bw.Senzo Mbatha huku kukiwa na tetes kwamba Patrick Aussems anatarajiwa kusaini kama kocha mkuu wa timu hiyo.Post a Comment

0 Comments