ads

adds

YANGA KUKOSA WACHEZAJI WAKE 8 MUHIMU DHIDI YA NDANDA, MOLINGA NDANI

Klabu ya Yanga ipo mkoani Mtwara na wachezaji 20 tu huku wachezaji 8 wakiwa nje ya uwanja kwa sababu mbalimbali. Yanga itakaribishwa na Ndanda mchezo wa ligi kuu 



 kwenye dimba la Nangwanda Sijaona Mtwara huku wakikosa huduma za Feisal Salum, Abdulaziz Makame, Lamine Moro, Juma Balinya, Ali Ali, Maybin Kalengo, Paul Godfrey na Cleofas Sospeter.

Kwa mujibu wa meneja ambaye pia ni mratibu wa timu hiyo Dismas Ten, Feisal Salum amepewa ruhusa maalum ya kwenda kumuuguza mzazi wake, na wengine saba wanakosekana kutokana na kuwa majeruhi.

Post a Comment

0 Comments