advertise with us

ADVERTISE HERE

JE MBINU ZA MKWASA ZITAFANYA KAZI MBELE YA NDANDA?

Klabu ya Yanga iko mkoani mtwara kucheza mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara hapo kesho dhidi ya Ndanda FC mchezo utakaopigwa saa 10 za jioni dimba la Nangwanda Kocha mpya wa kikosi hicho Bw. Charles Boniface Mkwasa ameanza kukinoa kikosi hicho kuelekea mchezo huo. Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akiwa na msaidizi wake Said Maulid watakuwa na kibarua kigumu  kudhihirisha ubora wao kwenye mechi hiyo.


Makocha hao wamekaimu afasi ya Mwinyi Zahera ambaye alifutwa kazi kutokana na matokeo mabovu mechi za kimataifa

Post a Comment

0 Comments