BETI NASI UTAJIRIKE

HUU HAPA MTAMBO MPYA WA MABAO YANGA , REKODI YAKE NI ZAIDI YA MOLINGA

Klabu ya Yanga inajiandaa kufanya bonge la usajili wa mshambuliaji raia wa Rwanda anayefahamika kwa jina la  Etekiama Taddy nyota huyo anarekodi  nzuri za CAF   


Kwani msimu wa 2017-18 aliibuka mshambuliaji bora wa Ligi ya Mabingwa Africa akiwa na klabu ya AS Vita ya nchini Congo. Mshambuliaji huyo  mweye umri wa miaka 32 ameshawahi kuvitumikia vilabu zaidi ya Saba ikiwemo As Vita Club ya Congo kuanzia mwaka 2012 hadi 2019.
Taarifa zisizo rasmi zinasema  viongozi wa Yanga Sc wameshakubalina kwenye masuala mazima ya Mshahara kilichobaki ni kusaini mikataba na kuanza kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake Kariakoo na Jangwani.

Post a Comment

0 Comments