advertise with us

ADVERTISE HERE

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS ,ALIYEWAFUNGA LIVERPOOL NDANI

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragije ametaja kikosi cha wachezaji 27 kwaajili yamaandalizi kuelekea mechi mbili za kuwania kufuzu AFCON mwaka 2021 dhidi ya Equatorial Guinea na dhidi ya Libya.Taifa Stars itacheza na Equatorial Guinea Novemba 15 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kisha itakwenda nchini Tunisia kucheza na Libya Novemba 19, 2019 kutokana na sababu za kiusalama nchini Libya.

Viingilio katika mchezo dhidi ya Equatorial Guinea utakaopigwa saa 1:00 usiku vimeshatajwa ambapo VIP A&B kitakuwa ni shilingi 5,000 na mzunguko itakuwa ni shilingi 3,000.

Post a Comment

0 Comments