Ilizoeleka dirisha hilo kufunguliwa Novemba 15 na kufungwa Disemba 15 lakini TFF imekuja na mabadiliko hayo
Dirisha la usajili litafunguliwa wakati ligi ikiwa imesimama kupisha michuano ya CECAFA Senior Challenge ambayo itafanyika nchini Uganda.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Disemba 01 mpaka Disemba 19
Hivyo baada ya kumalizika kwa michezo ya kalenda ya FIFA, timu zitacheza raundi moja au mbili kisha ligi kusimama tena kwa karibu wiki nne.
0 Comments