Klabu ya Simba imeendelea kupanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika na kuwapoteza wapinzani wake Yanga na Azam. CAF imetoa orodha
Ambayo inaonyesha Simba imetoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu Simba.Mbali na kutolewa raundi ya kwanza ligi ya mbingwa Afrika klabu hiyo imebebwa na ubora wa msimu wa 2018/19 ambapo ilitolewa hatua ya robo fainali na klabu ya TP Mazembe.
0 Comments