BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAREJEA DAR ES SALAAM KIMYA KIMYA BAADA YA KIPIGO

Klabu ya Simba imerejea jijini Dar es Salaam asubuhi ya leo baada ya kumaliza michezo yake miwili iliyocheza tarehe 27 Oktoba dhidi ya Singida United na kushinda bao 1-0.


Kiungo Ibrahim Ajib

Mchezo huo ulichezwa jijini Arusha badala ya Sigida baada ya uwanja wa Singida kufungiwa na TFF . Mchezo wa pili ni dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga mchezo uliomalizika kwa Simba kupigwa bao 1-0.

Simba imerejea jijini Dar es Salaam kuendelea na maandalizi ya michezo mingine ya Ligi kuu Tanzania.


Kiungo mahili Francis Kahata


Kipa namba mbili  Kakolanya  na Mshambuliaji Miraji Athman

  
Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems 

Post a Comment

0 Comments