BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAPANDISHA MADOGO SITA KIKOSI CHA KWANZA

Klabu ya Simba imewapandisha wachezaji 6 kutoka Simba B , Wachezaji hao watashiriki mechi tatu za kirafii mbazo timu hiyo itacheza hivi karibuni.


Hatua hiyo imefikiwa baada ya wachezaji wemgi wa kikosi cha kwanza kuwa nje ya timu wakizitumikia timu zao za taifa.

Kupitia mtandao wa klabu hiyo umesema wachezaji wao watashiriki mechi zifuatazo.
Jumamosi Oktoba 12, 2019 (vs Bandari FC - Kenya)

Jumatatu Oktoba 14, 2019 (vs Mashujaa FC) 

Jumatano Oktoba 16, 2019 (vs Aigle Noir - Burundi)

Kama nyota hao watafanya vizuri watajihakikishia nafasi za kudumu klabuni hapo a watapunguza gharama za usajili kwenye dirisha dogo.

Post a Comment

0 Comments