advertise with us

ADVERTISE HERE

RONALDO AWEKA REKODI HII ULAYA ,MESSI ATANGOJA

Mchezaji wa Juventus Cristiano Ronaldo ameendelea kuweka na kuvunja rekodi zake mwenyewe. Kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya Ronaldo ameweka rekodi nyingine mpya.


Ronaldo ameweka rekodi ya kushinda mechi ya 102 kati ya michezo 163 aliyocheza ligi ya mabingwa ulaya.  Ronaldo anaongoza kufunga mabao 126 kwenye michezo 163 na ameshinda ya ligi ya mabingwa ulaya.

Mchezaji huyo mwenye miaka 35 anaonekana kwenye kiwango kizuri na ametabiliwa kucheza soka la kulipwa mpaka atakapofikisha umri wa miaka 40.

Mbali na rekodi hiyo mpya Ronaldo ameifikia rekodi ya Raul vilabu 33 tofauti kwenye ligi ya mabingwa Ulay.

Post a Comment

0 Comments