BETI NASI UTAJIRIKE

REKODI ZA RONALDO NI TISHIO KWA DUNIA APEWA JINA JIPYA

Mshambuliaji mahili wa Klabu ya Juventus a timu ya taifa Ureno Cristiano Roaldo ameendelea kuwaacha wapenzi wa soka vinywa wazi baada ya kufikisha magoli 700 kwenye mechi 923 tu.

Mshambuliaji huyo alifunga goli hilo la 700 aiwa natimu yake ya taifa na kupewa jina la CR700 badala ya lile la CR7. Mshambuliaji huyo alifunga bao la 701 dhidi ya Ukraine na kumfaya awe mfungaji bora kwa wchezaji ambao bado hawajastaafu.

Ufafanuzi 
Akiwa Real madrid  amefunga mabao 450,Manchester United 118, Ureno 95, Juventus 32 na Sporting Lisbon 5.

Klabu alizozifunga mabao mengi ni pamoja na Sevilla 27, Atletico Madrid 25,Getafe 23 , Celta De Vigo 20 na Barcelona 18.

Ronaldo alifunga bao la 100 akiwa na manchester United huku bao la 200,300,400,500 na 600 akiwa na Real Madrid. Bao la 700 amefunga akiwa natimu yake ya taifa Ureno.

Mchezaji huyo anafukuzia rekodi mbalimbali na inaaminika atafikia rekodi ya kufunga mabao 800 misimu miwili ijayo.

Post a Comment

0 Comments