BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA YAITISHA MKUTANO WA WANACHAMA WOTE

Mkurugenzi mtendaji wa Simba Senzo Mazingisa amewataarifu wanachama wa klabu hiyo kujiandaa na mkutano wa kufungia mwaka utakaofanyika tarehe 8/12/ 2019 




Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.Mkutano huo utahusisha viongozi wote,wawekezaji na wanachama wanaotambulika na klabu hiyo.Ajenda kuu za mkutano huo bado hazijawekwa wazi kwa sasa na wanachama watapata taarifa rasmi ya ajenda siku 7 kabla ya mkutano huo. 

BARUA KWA LUGHA YA KISWAHILI

  
BARUA KWA LUGHA YA KIINGEREZA


Post a Comment

0 Comments