advertise with us

ADVERTISE HERE

MANARA AZIDI KUWAATIBUA YANGA

Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka mengine kuhusiana na suala la mchezaji wa Yanga, Abdulaziz Makame kuhusiana na kujifunga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zesco United.
Manara mwenye wafuasi 1.6 mil kwenye mtandao wa Instagram amekuwa akiwatupia maneno mazito mashabiki wa klabu ya Yanga na sasa ameibuka na hili lililowakera zaidi Yanga. Aliandika hivi 
Post a Comment

0 Comments