Kikosi cha wachezaji wa JKT Tanzania SC (waliosimama kwa nyuma) katika picha ya pamoja na uongozi wa zamani pamoja na uongozi mpya wa klabu hiyo uliochaguliwa hivi karibuni na leo umekabidhiwa rasmi ofisi.
Uongozi huo mpya wa klabu hiyo unaongozwa na Meja Javan Bwai ambaye ndiye Mwenyekiti huku makamu wake akiwa ni Kapten Thabit Baraji.
Mgeni rasmi katika makabidhiano hayo yaliyofanyika Makao Makuu ya JKT ni Kanali Rajab Mabele ambaye Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Shirika la Uzalishaji Mali JKT (SUMA-JKT)
0 Comments