ads

adds

HUYU HAPA SHEMEJI YETU WA TAIFA MKE HALALI WA MBWANA SAMATA

Mchezaji wa klabu ya KR Genk na nahodha wa taifa stazi mbwana samata hapo jana jioni aliuaga ukapela na kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Bi.Naima Omary.

 Mbwana Samatta akiwa na mkewe Bi Naima 
Mbwana samatta na Naima wamejaaliwa kupata watoto wawili na binti huyo. Taifa Stazi imeelekea jijini Kigali nchini Rwanda kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Rwanda pia timu hiyo itaelekea Sudan kw ajili ya mechi ya kufuzu michuano ya CHAN hapo mwakani.

Nafas ya Samatta kama kapeni imechukuliwa na Simon Msuva huku samata akibaki nyumbani Tanzania kwa masuala ya kifamilia likiweo hili kuu a kufunga ndoa.

Samatta atarejea jijini Brussel Ubelgji kujiandaa na mchezo dhidi ya Liverpool utakaofanyika nchini Uingereza na marudio yatafanyika wiki mbili baadaye .


Post a Comment

0 Comments