HAJI MANARA KUWAFUATA YANGA NCHINI MISRI

Msemaji wa Klabu ya Simba ,Haji Manara ameendelea kuwafanyia figisu wanaYanga baada ya kutangaza kwenda Cairo nchini Misri. Msemaji huyo kupitia kurasa zake 



Manara aliandika hivi "Nimealikwa kufanya Mhadhara ktk Chuo kikuu cha Al-Azhar kilichopo jijini Cairo siku ya Jumamosi jioni,na kesho Inshaallah nakwenda huko, Sifati yenu,naenda na yangu ila Team fitna si mnatujua?Okey tusafiri Mambo ya Cairooooooooooo" 


na akaweka picha ya tiketi kuthibitisha safari hiyo,mara ya mwisho manara aliwafuata Yanga jijini mwanza kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kufungwa bao 2-1.

Post a Comment

0 Comments