advertise with us

ADVERTISE HERE

NEYMAR KUKAA BENCHI MECHI YA LEO


Kwa mara ya kwanza mchezaji Neymar hatocheza dhidi ya montipellier hapo baadaye kutokana na majeraha. mchezaji huyo ghali zaidi duniani imefahamioka ameumia katika mguu wake wa kushoto.
Mchezaji huyo alietokea Barcelona amefanya vizuri msimu huu kwa kufunga magoli manne na kusaidia upatikanaji wa mengine manne katika mechi tano alizoichezea PSG.
Mbali na majeraha hayo redio RMC imetangaza uwepo wa Neymar dhidi ya Bayern Munich jumatano ijayo katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya.

Post a Comment

0 Comments