Kocha wa Paris saint-germain bwana Unai Emery amefunguka kuhusu tukio la kugombania mpira kati ya Neymar na Cavani lililozua mshangao miongoni mwa mashabiki wa soka limeonekana kumalizwa na kocha huyo. kocha huyo alisema "hawa ni wachezaji wawili wenye ushindani na wote wanafaa katika kikosi cha kwanza ila kila mmoja wao anahitaji mafanikio yake binafsi" pia alisisitiza kuwepo kwa hali nzuri ndani ya kikosi hicho na mambo yalikwisha baada ya mchezo kwani ile ni mihemko tu, watu wanaweza dhani wachezaji hao wanaushindani lakini hakuna kitu kama hicho na wako sawa kabisa. aliongeza "hiyo haitaharibu morali na nguvu kazi ya timu"
0 Comments