Kylin Mbappe atoboa siri kufanya mazungumzo na kocha wa Arsenal arsene wenger kabla ya kutia saini PSG
Kylin Mbappe akiwa na mchezaji ghali zaidi duniani Neymar Jr
Kylin mbappe atacheza kwa mkopo katika klabu ya Paris saint-german akitokea klabu monaco fc , zote za nchini ufaransa kabla ya kujiunga rasmi na klabu hiyo kwa dau la euro milioni 165 mwaka ujao
imeripotiwa kuwa mara baada ya dirisha la usajili kufunguliwa kocha Arsene wenger alihusishwa kuwa na mazungumzo na mchezaji huyo, kikao hicho kilichodumu kwa muda wa saa matatu na kinda huyo wa umri wa miaka 18, lakini mchezaji huyo aliamua kujiunga na miamba hiyo ya Ufaransa huku tumaini lake kubwa ni kucheza ligi ya mabingwa ulaya na kuitosa Arsenal.
Mbappe" nilikutana na kocha mkongwe Arsene Wenger , mwenye heshima katika soka na uwezo wa kukuza na kuendeleza vipaji vya wachezaji makinda Arsenal ilikuwa chaguo la kwanza ila PSG lilikuwa ni chaguo sahihi zaidi
mbappe anakuwa ni moja ya makinda walionunuliwa kwa pesa nyingi zaidi.
0 Comments