Manchester United wanapanga kumuuza winga wa Brazil Antony, 24, msimu wa joto kwa kiwango "kinachokubalika", huku winga wa Crystal Palace Mwingereza Michael Olise, 22 akiwindwa na United. (Rudy Galetti via X)
Inter Milan wanavutiwa na mlinzi wa Manchester United na England Aaron Wan-Bissaka, 26, ikiwa beki wa kulia wa Uholanzi Denzel Dumfries, 27, ataondoka Serie A msimu huu. (Gazzetta dello Sport - in Italian)
Post a Comment
0
Comments
MERIDIAN BET
EURO 2024
Kuanzia tarehe 14 june to 14 july AMOSPOTIXTRA TEAM itakuwa ujerumani kukuletea michuano ya EURO2024
0 Comments