Klabu ya Manchester United imeendelea kuweka rekodi mpya duniani. Manchester United ilikuwa ikishikilia rekodi mbalimbali duniani ikiwemo kumsajili beki ghali zaidi duniani Harry Maguire kwa ada ya paundi milioni 80 lakini kuwa na mchezaji anayelipwa zaidi kwa wiki Cristiano Ronaldo.
Tunapoelekea kufunga dirisha la usajili usiku huu. Manchester United imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kusajili wachezaji wawili kwa ada kubwa na kuwafanya wachezaji hao waingie top 10 ya wachezaji ghali zaidi duniani kwa msimu huu.
Winga Antony aliyesajiliwa kutoka Ajax ya Uholanzi anashikilia rekodi ya kununuliwa kwa paundi milioni 100 na kumfanya awe mchezaji ghali zaidi duniani kwa sasa huku kiungo mkabaji Casemiro akitua klabuni hapo kwa ada ya milioni 60 na wote ni raia wa Brazil wamejiunga na timu hiyo msimu huu.
Wachezaji wengine ni Tchounameni kutua real madrid, Fofana chelsea, Halaand Manchester City. Hii hapa ni risti kamili ya wachezaji hao
0 Comments