BETI NASI UTAJIRIKE

KUMBE MPINZANI WA MWAKINYO KAMA MANDONGA TU

 Yakiwa yamesalia masaa machache kwa Hassan Mwakinyo kupanda ulingoni dhidi ya Liam Smith bondia wa Uingereza anayemiliki mikanda wa WBC,WBO na WBA hapo jana kwenye mkutano na waandishi wa habari alionekana akijiamini sana dhidi ya Mwakinyo

Smith aliinukuliwa akisema 

"Anajua.Nilidhani ningemkumbusha kidogo kidogo mara ya mwisho tulipokuwa ulingoni ni nini kilitokea.Niko kwenye hatua ya kazi yangu ambapo hilo limetolewa. Nimejiandaa zaidi kwa hilo. Jumamosi usiku utaona jinsi nilivyojiandaa kwa hilo,"

Watanzania tunaamini Smith atapigwa mapema sana na Mwakinyo na nchi kwa ujumla tupo upande wake. Kwa maneno ya Liam Smith watanzania wanamfananisha na bondia mwenye kelele nyingi nchini Kareem Mandonga


Post a Comment

0 Comments