YANGA NA GSM WAFANYA KWELI BURUNDI

 Kampuni ya GSM imefanya kweli nchini Burundi baada ya kutoa misaada kwa watoto yatima katika kituo cha kulelea watoto cha Buyenzi nchini humo zoezi hilo liliongozwa na kocha msaidizi Cedric Kaze na Saido Ntabayonkiza limekuwa ni mwendelezo wa klabu hiyo kutoa misaada mbalimbali kila inapotembelea mahali mbalimbali  lakini pia uwepo wa mashabiki mbalimbali wa Yanga nchini Burundi umechochea zoezi hilo..Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo


Post a Comment

0 Comments