advertise with us

ADVERTISE HERE

PABLO ATUMA SALAMU KWA KAGERA SIMBA WAKITUA BUKOBA

Hatimae klabu ya Simba imewasili mjini Bukoba kukabiliana na Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu NBC. Mchezo huu utakuwa wa raundi ya 13 na utapigwa dimba la Kaitaba.Mara baada ya kuwasili Bukoba kocha mkuu wa Mabingwa watetezi Simba Sc amenukuliwa akisema

"Kesho tunaenda kukutana na timu nzuri ,katika siku saba zilizopita kwa mara ya kwanza kesho nategemea kucheza mchezo wa kweli kwenye uwanja ambao tunaweza kucheza"Hizi ni baadhi ya picha za wachezaji wa Simba wakiwasili uwanja wa ndege Bukoba kuwakabili Kagera Sugar 

 Post a Comment

0 Comments