advertise with us

ADVERTISE HERE

YANGA WAIJIBU KIBABE SIMBA NA AZAM


Ni kama klabu ya Yanga kupitia mdhamini wao GSM wamejibu mapigo kuelekea Wiki ya wananchi ambayo kilele chake ni agosti 30.

Hapo jana ilikuwa Simba day na klabu hiyo ilimtumia mwanamuziki Diamond Platinumz kama mtumbuizaji mkuu na alionyesha uwezo mkubwa sana.

Azam Fc wao walimtumia Alikiba kama mtumbuizaji mkuu wa Azam festival na amefanya vyema kwenye shoo yake.

Yanga nao hawako nyuma kwani wamempa kazi maalum mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa Harmonize awe mtumbuizaji mkuu wa siku hiyo ya wananchi. Je Harmonize atakuja na sapraizi kama alivyofanya diamond?


Post a Comment

0 Comments