YANGA WAENDELEA KUMNG'ANG'ANIA BENARD MORRISON


Uongozi wa klabu ya Yanga umeendelea kumlazimisha Benard Morrison kusalia klabuni hapo. Baada ya picha za Morrison kusambaa mitandaoni zikimwonyesha akisaini mkataba na mabingwa wa ligi kuu na FA klabu ya Simba.

Uongozi wa Yanga umeachia barua yenye kuwahakikishia wana Yanga kuwa watulivu kipindi hichi kwani Morrison ni mali yao na anamkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka mwaka 2022


Post a Comment

0 Comments