Beki kisiki wa Simba Paschal Serge Wawa jana alikamilisha jambo muhimu katika maisha yake baada ya kuoa
Wawa alipewa ruhusa na uongozi wa Simba kurejea kwao Ivory Coast kwa ajili ya kufunga ndoa
Wawa anatarajiwa kurejea kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumapili mkoani Arusha
0 Comments