advertise with us

ADVERTISE HERE

WALIOIFUMUA SIMBA 5 - 0 SASA WAMETUA YANGA


Klabu ya Yanga imekwisha malizana na winga Tuisila Rossein pamoja na kiungo mkabaji Mukoko Tonombe.

Taarifa za ndani za klabu hiyo zinasema nyota hao watawasili ndani ya siku mbili baada ya kumalizana na YANGA huku injinia Hersi Said kutoka GSM wadhamini wa Yanga akisimamia mchakato mzima na kwa sasa yupo Congo.

Itakumbukwa Wachezaji hawa ndio waliokuwemo kwenye Kikosi cha As vita kilichoifunga Simba mabao 5-0 pale Congo.

Post a Comment

0 Comments