Klabu ya Yanga inajumla ya wachezaji 20 mpaka sasa baada ya kuachana na wachezaji wake 16 mwishoni mwa msimu wa 2019/20 huku ikisajili wachezaji wengine wapya watano. Kwenye orodha ya wachezaji hao mshambuliaji msumbufu Benard Morrison amejumuishwa. Hiki hapa ni kikosi kamili cha wachezaji waliopo mpaka sasa MAKIPA 1. Farouk Shikalo 2. Metacha Mnata 3. Ramadhan Kabwili BEKI WA KULIA 4. Paul Godfrey
BEKI WA KUSHOTO 5. Yasin Mustafa (Mpya) 6. Adeyoun Saleh
MABEKI WA KATI 7. Lamine Moro 8. Said J Makapu 9. Bakari Nondo Mwamnyeto ingizo jipya kutoka Coastal Union 10. Abdallah Slhaibu Ninja Ingizo jipya kutoka Serbian timu ya MFK VIUNGO CHINI 11. Zawadi Mauya ingizo jipya kutoka Kagera Sugar 12. Feisal Toto 13. Haruna Niyonzima 14. Abdulaziz Makame VIUNGO WASHAMBULIAJI 15. Balama Mapinduzi 16. Deus Kaseke 17. Bernard Morrison 18.Juma Mahadhi
0 Comments