UCHAMBUZI>NANI ATATWAA NDOO YA EUROPA KATI YA INTER MILAN VS SEVILLE


Klabu za Intermilan inayoshiriki Serie A na Seville FC inayoshiriki La Liga kwa mara ya kwanza zinakutana fainali ya Europa League tarehe 21 agosti 2020 mchezo utakaopigwa nchini Ujerumani dimba la Rhein Energie Stadion

Sevilla walifika fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester United huku Inter Milan wakifika fainali baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Sharkar Donestk.

Uchambuzi kwa kila timu 

1.SEVILLE

Wapo nafasi ya 8 kwa ubora UEFA
Nafasi katika ligi  4 (mchezo wa mwisho ni : 19 July)
Mechi tano zilizopita (matokeo ya mechi): WWWWD
Walivyofika fainali(  Group Awaliibuka washindi, 1-1 CFR Cluj (goli la ugenini, R32), 2-0 Roma (R16), 1-0 Wolves (QF), 2-1 Man. United (SF)
Msimu uliopita waliishia raundi ya 16 wakifungwa na  Slavia Praha
Rekodi ya fainali Europa : P5 W5 L0 (ushindi wa karibu ni  2015/16 dhidi ya  Liverpool)
mimu yote waliyowahi kufika fainali na kushinda  (2005/06, 2006/07, 2013/14, 2014/15, 2015/16)

2.INTER MILAN 

apo nafasi ya 33 kwa ubora wa UEFA 
Wmemaliza nafasi ya  2 Serie A (mchezo wa mwisho ni 1 August)
Rekodi michezo mitano iliyopita : WWWWW
Jinsi walivyofika fainali : waliondolewa UEFA Champions League hatua ya makundi ,wakashinda  4-1 dhidi ya Ludogorets (R32), wakashinda 2-0 dhihi ya  Getafe (R16), wakashinda 2-1 dhidi ya Leverkusen (QF), wakashinda 5-0 dhidi ya Shakhtar (SF)
Msimu uliopita:waliishia raundi ya 16 baada ya kufungwa na  Eintracht Frankfurt)
Rekodi ya fainali EUROPA: P4 W3 L1 (ushindi wa karibu: 1997/98, W vs Lazio)
USHINDI wa UEFA Cup/Europa League ni  (1990/91, 1993/94, 1997/98)


Post a Comment

0 Comments