Wachezaji wawili waliosajiliwa na Yanga Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe wanatarajiwa kuwasili kutoka kule DR Congo wakiongozana na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said
Mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuwapokea nyota hao
Mapokezi haya yananikumbusha ujio wa Haruna Niyonzima mwaka 2012, alipata mapokezi makubwa tukio ambalo mwenyewe amekiri hatalisahau
Hili ni tukio la kipekee sana kwa wachezaji hawa
0 Comments