advertise with us

ADVERTISE HERE

RATIBA KAMILI MSIMU WA 2020/21 IMEKWISHATOKA


Bodi ya ligi kuu Tanzania Bara imetangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa msimu wa 2020/21. `Ligi kuu itaanza rasmi tarehe 6 Septemba lakini  mchezo wa ngao ya jamii utapigwa tarehe 29 Agosti. Mchezo huo utazikutanisha Simba mabigwa wa ligi kuu pamoja na kombe la FA (Azam sports federation Cup) dhidi ya Namungo.Aidha mchezo wa ufunguzi utapigwa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro uwanja wa Ushirika.


Wakati ligi kuu ikingojewa kwa hamu shirikisho la soka lilitangaza kwa timu zote kuanza kufanya usajili kuanzia tarehe 1 August mpaka mwishoni mwa mwezi Septemba huku likisisitiza klabu mbalimbali kusajili wachezaji wa kueleweka na wenye kiwango cha juu ili kuepusha lawama kwa TFF na waamuzi watakaochezesha ligi hiyo.

Post a Comment

0 Comments