MZEE MAKAMBA AWACHANA VIONGOZI YANGA KUMLETA SENZO


Shabiki wa klabu ya Simba January makamba ameshea mazungumzo yake na aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mzee Yusuf Makamba. Kwenye mazungumzo hayo mzee makamba amesema viongozi wa Yanga hawajui mpira na wamejaa siasa .

Mzee Makamba amesema hayo baada ya kuulizwa swali kuhusu usajili walioufanya Yanga kwa kumleta aliyekuwa mkurugenz mtendaji wa Simba Bw.Senzo Mbatha nndipo mzee makamba akasema kuwa ni mtu pekee aliyekuwa anajua mpira kwa Yanga ni Gulamali. 

Hivi ndivyo mazungumzo yao yalivyokuwa 

Post a Comment

0 Comments