BETI NASI UTAJIRIKE

MSOLLA AWEKWA MTU KATI NA TFF KISA MORRISON


Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dkt.Mshindo Msolla amejikuta akiingia mahali pabaya baada ya kuikosoa kamati ya maadili na hadhi za wachezaji. Kupitia barua ya wazi iliyotolewa na TFF imesema kuwa . Julai 2 kamati ya maadilli ilipokea malalamiko kutoka Yanga yakidai klabu ya Simba ilikuwa ikimrubuni aliyekuwa nyota wa klabu ya Yanga Benard Morrison kutakiwa kujiunga na mabingwa hao wa nchi (Simba)

Kwa mujibu wa TFF wanasema walipokea tena taariufa kutoka kwa kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Simon Patrick aliyesema shauri hilo liondolewe kwani yalikuwa ni maelezo na si shauri kama lilivyowakilishwa.

Hii hapa barua kamili

Post a Comment

0 Comments