advertise with us

ADVERTISE HERE

MKALI WA MASHUTI KUREJEA DIMBANI HIVI KARIBUNI


Baada ya kutumia magongo kwa takribani wiki sita, kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama anaendelea vizuri sasa akianza kutembea kawaida.Balama alipata majeraha ya kuteguka mguu katika maandalizi ya mechi za mwisho mwisho kukamilisha msimu uliopita

Nyota huyo ameanza mazoezi ya kuutembelea mguu wake uliopata majeraha ikiwa ni hatua nzuri kuelekea kuanza mazoezi kamili
Hii ni habari njema kwa Yanga kwani anaweza kurejea kikosini mapema zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali

Post a Comment

0 Comments