MECKY MEXIME ATANGAZA NEEMA KWA WENYE VIPAJI

Uongozi wa Kagera Sugar Football Club unayo furaha kuwatangazia vijana wa kitanzania wenye umri chini ya Miaka 20 #UNDER20 kuwa Siku Ya kesho JUMATANO 19/2020 Majira ya SAA 3:00 ASUBUHI kutakuwa na zoezi la USAILI WA VITENDO #TRIAL kwa vijana wanaocheza mpira wa Miguu (Football).

Tunatoa wito kwa wazazi Pamoja na walezi wote ambao Wana vijana wao wenye vipaji na uwezo wa kucheza mpira wawape ruhusa vijana wao waje uwanja wa UHURU kufanya majaribio ya VITENDO ili waweze kukuza vipaji vyao na kutimiza ndoto zao za baadae katika Soka la Tanzania na Nje ya Tanzania.


VINANA WOTE MNAKARIBISHWA SIKU YA KESHO ILI MPATE FURSA YA KUONESHA VIPAJI VYENU.

MUDA: SAA 3 KAMILI ASUBUHI
MAHALI: UHURU STADIUM,DAR ES SAALAAM


#TIMUYETUSUKARIYETU
MAKOCHA WATAKAO KUEPO.
1. MECKY MEXIME
2. TEMI FELIX (U20)
3. ALLY JANGALU

Post a Comment

0 Comments