BETI NASI UTAJIRIKE

MECHI KALI LEO> INTERMILAN VS SHARKTAR NANI ATAVUKA FAINALI


Michuano ya Europa League inaendelea hii leo kwa mchezo mkali kati ya Inter Milan dhidi ya Sharktar Donestic. Hiim inakuwa ni fainali ya pili baada ya ile ya Manchester United dhid ya Sevilla mchezo uliomalizika kwa Sevilla kushinda mabao 2-1 na kutinga fainali ya michuano hiyo.

Timu yoyote itakayopita kwenye hatua hii basi itakutana na bingwa mara tano wa Europa klabu ya Sevilla . Kwa rekodi za hivi karibuni kati ya Sharktar na Intermilan zimekutana mara ya mwisho mwaka 2005 kenyr michuano ya UEFA mchezo wa kwanza zilitoka sare ya mabao 1-1 huku mchezo wa pili Inter Milan ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Kwa msimu wa 2019/20 Shakta walimaliza mabingwa wa kigi kuu Ukraine huku Inter Milan ikimaliza nafasi  ya 2 kwenye msimamo wa ligi nyuma ya Juventus kwa pointi 1

Post a Comment

0 Comments