Leo ni siku muhimu sana kwa uongozi,mashabiki na wachezaji wa klabu ya Simba wanakapohitimisha kilele cha wiki ya Mabingwa, kwa tukio la historia SIMBA DAY.Simba imepania kuandika historia mpya kwa kuwakutanisha mashabiki wa Simba zaidi ya 90,000 katika viwanja vya Mkapa na Uhuru
Kabla ya mchezo wa kutambulisha kikosi dhidi ya Vital'o ambao utapigwa saa kumi jioni, mapema kutakuwa na Burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali lakini kubwa zaidi Diamond Platinumz maarufu kama SIMBA, atakuwa na takribani saa moja ya kutoa burudani kwa Wanamsimbazi
Diamond ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya klabu ya Simba. Wimbo huo aliuzindua juzi na leo atakuwa na nafasi ya kuutambulisha mbele ya mashabiki wa mabingwa hao wa nchi
Hii hapa Ratiba ya mtiririko wa Matukio ya leo;
Hii hapa ni ratiba nzima ya Simba day
Hii hapa ni ratiba nzima ya Simba day
0 Comments