BETI NASI UTAJIRIKE

KUELEKEA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WACHAMBUZI WA AMOSPOTI WATABIRI WASHINDI



Leo ni siku ya kipekee kwa mashabiki wa soka nchini kwani tulkio kubwa la utoaji wa tuzo mbalimbali kwa wachezaji na makocha waliofanya vyema zinakwenda kutolewa katika ukumbi wa mlimani city.

Mbwana Ally Samata ni mmoja wa wanaohudhuria tuzo hizo akiwa na kazi moja tu kuitoa tuzo hiyo kwa mchezaji mmoja wapo. Haya ni majina ya wachezaji na viongozi wanaowania tuzo hizo . Sisi kama Amospoti tumepata kupendekeza mshindi kwa kila kipengele na hata wewe unaweza kutoa pendekezo lako.


Kocha Bora
1.       Sven Vandenbroeck- Simba (mshindi)
2.       Hitimana Thiery-Namungo
3.       Aristica Cioaba-Azam FC

Beki bora
1.Bakari Mwamnyeto-Coastal Union
2.David Luhende-Kagera Sugar
3.Nico Wadada-Azam FC (mshindi)
  
Kiungo bora
1.Lucas Kikoti-Namungo FC
2.Clatous Chama-Simba  (mshindi)
3.Mapinduzi Balama-Yanga

Mchezaji bora
1.       Nicolas Wadada-Azam FC
2.       Clatous Chama-Simba  (mshindi)
3.       Bakari Mwamnyeto-Coastal Union

Goli bora
1.       Sadallah Lipangile-(KMC) v Mtibwa Sugar (mshindi)
2.       Luis Miquissone (Simba) v Alliance 
3.       Patson Shikala (Mbeya) v JKT Tanzania

Mchezaji bora chipukizi

1.Kelvin Kijiri-KMC FC (mshindi)
2.Dickson Job- Mtibwa Sugar 
3.Novatus Dismas-Biashara United

Kipa bora
1.Daniel Mgore-Biashara United FC
2.Nourdine Balora-Namungo FC
3.Aishi Manula-Simba

Timu yenye nidhamu
1.Coastal Union
2.Kagera Sugar FC 
3.Mwadui FC

Mwamuzi bora

1.Ahmed Arajiga-Manyara
2.Ramadhan Kayoko-Dar es Salaam mshindi
3.Abdallah Mwinyimkuu-Singida

Mwamuzi bora msaidizi

1.Frank Komba- Dar es Salaam
2.Abdulaziz Ally-Arusha
3.Hamdan Said-Mtwara

Post a Comment

0 Comments