JE SARPONG ATAKUWA NI ZAIDI YA MAKAMBO


Mshambuliaji mpya wa Yanga Michael Sarpong amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabinga hao wa kihistoria.Sarpong amekabidhiwa jezi namba 19 ambayo ilikuwa ikitumiwa na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Heritier Makambo

Sarpong anapaswa kuitendea haki jezi hiyo, Wanayanga wakisubiri kushangilia mabao yake
Mghana huyo alitua nchini jana, leo ameanza rasmi majukumu yake ndani ya mabingwa hao wa kihistoria

Post a Comment

0 Comments