Rasmi kiungo fundi Carlos Fernandes 'Carlinhos' amewasili nchini tayari kuanza majukumu yake ndani ya klabu ya Yanga
Carlinhos ametua JNIA mchana wa leo akipokelewa na Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said
Umati wa mashabiki wa Yanga wanatarajiwa kumlaki na kisha kumsindikiza mpaka Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
0 Comments