BETI NASI UTAJIRIKE

HIZI HAPA MECHI KALI ZA KUANGALIA LEO IJUMAA TAREHE 7/8/2020


Michuano ya ligi ya mabingwa ulaya inaendelea rasmi hii leo kwa kuikutanisha miamba ya Hispania Real Madrid dhidi ya Manchester City huku Juventus ikiikaribisha Lyon. Itakumbukwa mchezo wa kwnza uliopigwa dimba la Santiago Bernabeu mchezo uliomalizka kwa Real Madrid kukubali kipigo cha mabao 2-1. Na kama Real Madrid watataka kupita hatua inayofuata itawalazimu kushinda mabao kuanzia 2-0 au 3-1.Sare ya aina yoyote itawaondoa kwenye mashindano 

Lyon watakuwa ugenini dhidi ya juventus.Mchezo wa kwanza Lyon waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Juventus. Kama Juventus atataka kuvuka hatua inayofuata atalazimika kushinda mabao kuanzia 2-0 au 3-1. Sare yoyote itawatoa kwenye michuano hiyo

Post a Comment

0 Comments