HIZI HAPA JEZI TATU ZA REAL MADRID ZITAKAZOTUMIKA MSIMU WA 2020/21


Mabingwa wa La Liga msimu wa 2019/20 Klabu ya Real Madrid imetambulisha jezi zake mpya zitakazotumika msimu wa 2020/21. Real Madrid wametambulisha aina tatu za jezi zitakazotumika msimu ujao. Ajabu ya jezi hizo ni kufnana na zile za wapinzani wao  Barcelona waliozitambulisha hivi karibuni. 

Jezi ya Nyumbani ni ile nyeupe,Ugenini ipo jezi rangi ya pinki na rangi nyeusi. Huku Barcelona wakiwa na jezi ile nyeusi na pink kwa mechi za ugenini .Swali kwa mashabiki wa timu hizo linabaki ni nani aliyekopi rangi ya mhasimu hao kufanana ?au ni nani hutoa maelekezo ya jezi hizo kufanana ?

Post a Comment

0 Comments