BETI NASI UTAJIRIKE

HIVI NDIVYO DUKA LA YANGA LITAKAVYOKUWA

Aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Yanga Dismas Ten kupitia uurasa wake wa twitter ametuonyesha jisi duka jipya la Yanga litakavyokuwa likionekana. Hapo Awali ilisemekana Yanga wanataka kujenga duka lake mahali lilipo jengo la klabu hiyo. Mchoro huu kama utakuwa na uhalisia basi tutegemee mambo mazuri zaidi ndani ya Yanga.

Huu hapa muonekano wa duka hilo jipya



Post a Comment

0 Comments