HAWA HAPA NYOTA 11 WALIOANZA MAZOEZI MAKALI KUELEKEA MSIMU WA 2020/21


Klabu ya Yanga imetangaza kushusha majembe mapya ndani ya klabu hiyo.Mbali na sajili hizo lakini  pia baadh ya wachezaji wa timu hiyo wamekwishaingia rasmi kambini kujiandaa na msimu mpya.

Baadhi ya wachezaji walioanza mazoezi ni -Metacha Mnata ,Yassin Mustapha ,Paul Godfrey ,Deus Kaseke ,Juma Makapu,Abbdulaziz Makame,Ditram Nchimbi ,Wazir Junior,Juma Mahadhi,Abdallah Shaibu.

Picha kadhaa zinazonyesha  wachezaji hao wakifanya mazoezi mepesi zimekuwa kivutio kwa mashabiki wa timu hiyo wanaoamini msimu wa ujao ni wa ubingwa.Post a Comment

0 Comments