CARLINHOS NDANI YA JANGWANI WIKI HII


Kiungo fundi wa mpira Carlos Stenio Fernandes Guimaraes maarufu kama 'Carlinhos' ndio anayefuata katika orodha ya mwamba, injinia Hersi Said.Juzi katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Dismas Ten, Afisa Masoko wa Yanga alidokeza ukali wa fundi huyu wa mpira
Anatoka klabu ya Interclube inayoshiriki ligi kuu ya Angola Kwa wale wanaopenda kuwafanyia tathmini wachezaji wakamtafute huko Youtube, balaa lake sio dogo umri wake ni miaka 25. Unaambiwa ujio wa huyu mwamba una mkono wa Bosi mwenyewe GSM

Usajili huu wa kununua wachezaji wenye mikataba unafanywa na Yanga tu, wengine wanasubiri kutereza kwenye 'ganda la ndizi'

Post a Comment

0 Comments