BETI NASI UTAJIRIKE

BEKI KISIKI WA YANGA ATIMKIA NAMUNGO KIMYA KIMYA


Aliyekuwa beki kiraka wa klabu ya Yanga Jaffary Mohammed amepata dili jipya kwenye klabu ya Namungo ya mkoani Lindi.Jaffari aliachana na klabu ya Yanga baada ya mkataba wake na klabu hiyo kumalizika .Uwepo wa Jafari ndani ya Namungo utaongeza nguvu kwa timu hiyo iliyomaliza ligi kuuTanzania Bara ikiwa nafasi ya nne huku pia wakiingia fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup mchezo waliopoteza kwa kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Simba.

Jafari amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo itakayoshiriki kombe la shirikisho msimu wa 2020/21

Post a Comment

0 Comments